Uncategorized

#farayarenews ali ongeza luqa ya kiswahili habari seynu Somalia yavilaumu vikosi vya AMISOM kwa jukumu lao katika mapigano ya Kismayu Julai 01, 2013 Siku ya Jumapili (tarehe 01 Juni) serikali ya Somalia ilikituhumu kikosi cha wanajeshi wa Kenya kinachounda Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) mjini Kismayu kwa kuegemea upande mmoja katika mapigano kati ya wanamgambo wanaopigana kuwania udhibiti wa Jubbaland. “Tunaituhumu Sekta II ya AMISOM kwa kukiuka jukumu lao,” Naibu Waziri wa Habari, Posta na Mawasiliano ya Simu Abdishakur Ali Mire, aliiambia Sabahi. “AMISOM imeshiriki kwenye mgogoro uliotokea Kismayu ambako raia wamekufa, na iliegemea kundi moja.” Mire ametaka kupelekwa kwa kikosi ambacho “hakiegemei upande wowote” na kuteuliwa kwa afisa mpya wa kisiasa kwa ajili ya Kismayu — na yote kutoka nchi nyengine na sio Kenya. Mire alisema Sekta II ya Kikosi cha AMISOM ilimkamata kamanda wa kijeshi wa Somalia mkoani Jubbaland, Kanali Abbas Ibrahim Gurey, na kutoa wito wa kuachiliwa mara moja na kurudishwa kwenye nafasi yake. Wanamgambo wa Ras Kamboni walichukua udhibiti wa Kismayu siku ya Jumapili baada ya mapigano yaliyouwa kiasi cha watu 12 tangu Alhamisi. Msemaji wa AMISOM, Kanali Ali Aden Humad alikanusha kwamba wanajeshi wa Kenya wanaohudumu kwenye Kikosi Sekta II cha AMISOM walihusika kwenye mapigano hayo yaliyotokea Kismayu au kwamba kikosi hicho cha Kenya kilishindwa kutimiza wajibu wake wa kuwalinda raia. “Jukumu la AMISOM sio kulalia upande mmoja, si kweli kwamba tuliusaidia upande mmoja dhidi ya mwengine,” Humad aliiambia Sabahi, akiongeza kwamba wanajeshi wa Umoja wa Afrika wapo kwa ajili ya kuisaidia serikali ya Somalia na wanafanya kazi kwa ridhaa ya serikali

Somalia yavilaumu vikosi vya
AMISOM kwa jukumu lao katika
mapigano ya Kismayu
Julai 01, 2013
Siku ya Jumapili (tarehe 30 Juni) serikali ya
Somalia ilikituhumu kikosi cha wanajeshi wa
Kenya kinachounda Misheni ya Umoja wa Afrika
nchini Somalia (AMISOM) mjini Kismayu kwa
kuegemea upande mmoja katika mapigano kati
ya wanamgambo wanaopigana kuwania udhibiti
wa Jubbaland.
“Tunaituhumu Sekta II ya AMISOM kwa kukiuka
jukumu lao,” Naibu Waziri wa Habari, Posta na
Mawasiliano ya Simu Abdishakur Ali Mire,
aliiambia Sabahi. “AMISOM imeshiriki kwenye
mgogoro uliotokea Kismayu ambako raia
wamekufa, na iliegemea kundi moja.”
Mire ametaka kupelekwa kwa kikosi ambacho
“hakiegemei upande wowote” na kuteuliwa kwa
afisa mpya wa kisiasa kwa ajili ya Kismayu — na
yote kutoka nchi nyengine na sio Kenya.
Mire alisema Sekta II ya Kikosi cha AMISOM
ilimkamata kamanda wa kijeshi wa Somalia
mkoani Jubbaland, Kanali Abbas Ibrahim Gurey,
na kutoa wito wa kuachiliwa mara moja na
kurudishwa kwenye nafasi yake.
Wanamgambo wa Ras Kamboni walichukua
udhibiti wa Kismayu siku ya Jumapili baada ya
mapigano yaliyouwa kiasi cha watu 12 tangu
Alhamisi.
Msemaji wa AMISOM, Kanali Ali Aden Humad
alikanusha kwamba wanajeshi wa Kenya
wanaohudumu kwenye Kikosi Sekta II cha
AMISOM walihusika kwenye mapigano hayo
yaliyotokea Kismayu au kwamba kikosi hicho cha
Kenya kilishindwa kutimiza wajibu wake wa
kuwalinda raia.
“Jukumu la AMISOM sio kulalia upande mmoja,
si kweli kwamba tuliusaidia upande mmoja dhidi
ya mwengine,” Humad aliiambia Sabahi,
akiongeza kwamba wanajeshi wa Umoja wa
Afrika wapo kwa ajili ya kuisaidia serikali ya
Somalia na wanafanya kazi kwa ridhaa ya serikali

Advertisements
Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s